Sign up here with your email
BAADA YA KUSEMEKANA KAMKATA SIKIO MAMA YAKE, HII NDIYO KAULI YA KWANZA YA DUDUBAYA KUHUSU HILO
Siku ya leo zimesambaa habari katika mitatandao kuwa Mwanamuziki Dudubaya Amemkata Mama yake Masikio na amekimbia na kujificha huku Polisi wanamtafuta, Dudubaya Amehojiwa na Gossip Cop na kusema hata yeye anazisikia hizi habari na kupigiwa simu tu hajui chochote na wala hatafutwi na Polisi...Lakini amesema anajua wanao sambaza hizo Story ni ndugu zake mwenyewe ambao wanamuonea wivu baada ya kumjengea mama