Baby Madaha akipigana denda na msichana mwenzake Bar.Wakati sakata la kusagana ndani ya mastaa wa bongo movie likiwa bado bichi, Msanii wa muziki na maigizo Baby madaha ameibuka na mapya juu ya mastaa wenye tabia ya usagaji....
Akiongea na mwandishi wetu juzi kati jijini Dar,msanii huyo alisema kuna mlolongo wa wasanii wa kike kwenye tasnia ya filamu ambao wamekuwa na tabia hiyo ya kisagaji huku yeye akiwa ni mmoja wa \wahanga wa kutongozwa na wasichana wenzake....
"Hawana hata chembe ya aibu,wakishakunywa pombe zao wanakuambia live kabisa, mimi mwenyewe nishatongozwa sana na ( anataja jina ).Kiukweli wanakera sana ndugu yangu" Alisema msanii huyo.
Madaha aliendelea kutiririka kuwa wasanii wengi wa kike wa filamu wamekuwa wakichanganywa na utumiaji uliopindukia wa pombe na bangi unaowapelekea kufanya mambo ya aibu kwa jamii
Ukihukumu kwa kutumia picha hii ( hapo juu ) na maelezo ya baby
Sign up here with your email