SIO SIRI TENA: UKWELI JUU YA BEEF LA WEMA SEPETU NA KAJALA MASANJA

Ushaisikia ile beef ya mashosti hawa wawili hapa bongo ile story iliyotikisa jiji kutokea kwa jambo ambalo hakuna mtu aliyewahi kudhani linaweza ku-happen?,hapa tunamuongelea Diva mwenyewe the CEO wa Endless fame,former miss Tz 2006 na Muigizaji maarufu ,madame Wema Sepetu,na Kajala Masanja ambaye hivi sasa mbali na kipaji chake cha uigizaji ni Ceo wa K-intertainment ambae teyari imesharelease movie mbili zinazofanya poa sana hapa town,Laana na Pishu.
wemanakajala
Baada ya kusambaa romuors mtaani kwamba wanagombea Mr Clement na matusi yakiwa kila kona ya mtaa huku Kajala haelewi kwanini kila mtu anamtukana bila ya kujua sababu, hii ndio sababu ya ugonvi wao;
Ulianzia pale wakati Kajala akitengeza Movie yake ya pili inayoitwa Pishu akifanya na Mzee Senga chini ya Director bora kabisa Tzee Lamata, wakati wakimaliza movie hiyo maeneo ya block 41 huku kajala akiwa bibi harusi akimpakia Mzee Vengu kwenye Baiskel Kajala alilowa sana jasho na kuamua kupitia Saloon maeneo ya kinondoni Makaburini na ndio hapo alipokutana na Shoga yake huyo na kutaka kumkumbatia lakini Kajala alikataa na kumzuia kwa mkono kwa sababu ya jasho na ndio hapo Wema hakuonyesha kufurahi kwa kitendo kile na baada ya hapo ndio akakaa kimya bila ya kumsemesha rafiki yake huyo
“sina ugomvi na Wema mimi kwani ninachokikumbuka ni kumkatalia kukumbatia nane tu na hakupenda na nikamuomba msaamaa lakini hakutaka kabisa kuonana na mimi sasa hao wanaodhani nimechangia nae bwana ni uzushi tu lakini inaniumiza saan kwani mwanangu anaona matusi ninayotukanwa kwa kweli inaniumiza sana”said Kajala

Previous
Next Post »

Blogger templates