JE, KUFANYA MAPENZI OFISINI HUVURUGA SAIKOLOJIA YA MTU



Kula nanasi kunahitaji nafasi, wengi wamekuwa wakishawishika
kufanyamapenzi katika eneo la kazi kutokana na kupendana ama
vishawishi mbali mbali kutoka kwa kinadada hususani katika mavazi. 
Sina maana mbaya ninaposema kina dada kwasababu wengi wao ndio
wanaoacha sehemu
zao nyeti wazi, kwamfano kuvaa nguo fupi sana na
kuvaa vitop vinavyoonyesha sehemu kubwa ya maziwa wazi.Kwa asilimia
miamoja watu wengi wanaofanya mapenzi kwa kuiba katika maeneo kama ya
ofisini huwahawakumbuki kuvaa kinga kutokanana mihemumko mikali na ya
haraka kuliko kawaida wanayokuwa nayo kwa wakati huo. Ni vyema
kujihadhali ma mihemuko hii kwani madhara yake ni makubwa.Mihemuko hii
huwakumba watu wote hata ambao wako katika ndoa, kutokana na
vishawishi vya mwenzake basi anajikuta amezama katika saa za kazi.
Tabia hii ikifanyika mara tatu huanza kuwa kama sehemu ya majukumu ya
wezihawa wa mapenzi. Kinadada wanaovaa nguo fupi katika makazi ya watu
huenda wakawa wanafanya hivyo kwasababu ya fasheni, wengine kutafuta
mvuto kwa wafanyakazi wenzie, lakini kwa wanaume huwa ni kishawishi
kimoja kikubwa sana.Kumbuka unapaswa kuishinda faragha yako na
kujitambua kuwa hupaswi kufanya mapenzi na mke wa mtu au mume wa mtu.
Unapoona vishawishi
kama hivi jaribu kuwa bize na kazi, chukulia poa
tu japokuwa wadada wengi huwa na njia mbali mbali za kukufanya ukanasa
kirahisi kwa mfano kama mnakumbuka skendo ya Monica Lewinsky na
aliyekuwa rais wa Marekani wakati huo walichokifanya ofisini na baadae
kuja kuwa ni skendo kubwa sana.Hasara ya mapenzi hayo ya kiwizi wizi
katika masaa ya kazi ni kupata maambukizi ya Ukimwi bila kufahamu
kwani utakuwa umemzoea mfanyakazi mwenzio kwa jinsi alivyo smati
katika kazi, hivyo hutafikilia kama anawatu wengine nje ya kazi. Pia
kuna maambukizi ya magonjwa ya zinaa, ambayo kwa wanawake hujificha
kwa muda kabla ya kuonekana haraka kama wanaume
Previous
Next Post »

Blogger templates