Tukisema dunia imekwisha watu hawaamini, mimi ninadhani ni wakati wakumgeukia Mungu sasa. Vijana hawo juu wamekamatwa kwa kosa la kufanya mapenzi wote wakiwa chumba kimoja
na wasichana wao.Najua msomaji utashituka sana kwamba kwani kosa ni nini hapo, ila kwa wale wanajua sheria vizuri nadhani watajua kwamba hil ni kosa la jinai.
Taarifa zinasema baada ya watu kujua upuuzi uliokuwa unafanywa na wanaume hao wakliwa na wapenzi wao wote wakira uroda kwenye chumba kimoja, msamalia mwema alikwenda polisi kutoa taarifa na mara maaskari walikuja na kuwakuta vijana ndani ya mambo kitu roho inapenda(UTAMU KUNOGA).
Kwa sasa vijana hawa wanashikiliwa na polisi tayari kwa kufikishwa mahakamani kujibu shitaka hilo.
Miongoni mwa vijana hawo ambao mmoja wapo ameweza kutambuliwa kwa jina ni Jesse Orowo Omokoh raia wanigeria
Hapa wanavishwa pingu kama ishara ya kufahidi uhondo wakufanya mapenzi chumba kimoja.
Sign up here with your email