Unajua mavazi nayo yana raha yake, isiwe uko ndani na mpenzi wako usiku umevaa gauni au jeans. Hii haiko sawa kabisaa Vaa vitu vitakavyoweza kumfanya ajue kweli hajakosea kukuchagua wewe.
ohhooo fanya hivyo mtu wangu watu wanazitafuta ndoa usiku na mchana. Ukiipata itumie vizuri mpe mume wako vitu roho inapenda sio uko ndani
unavaa kama unaenda kwenye semina au kikao cha shule utaikosa ndoa
unavaa kama unaenda kwenye semina au kikao cha shule utaikosa ndoa
Sign up here with your email