Hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za kuhondomolana wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15 ya wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku. Je, wewe unasemaje kama umefanya tafiti zako niandikie utoe maoni yako hapo chini.