jamani
hawa dada zetu wanazidi kulikoroga sana hivi inakuaje mpaka
unajidharirisha kihasi hiki jamani, ni kwamba tuna dhiki sana au ndo
utandawazi tunaenda na fasheni? haipendezi hata kidogo , kwa mfano awa
madada waliovua nakiachia nido zao wazi mbele ya watu eti wanatafuta
nani maziwa yake ni sa sita na nani ni ndala ndefu kweli huu ni ungwana
jamani, tubadirike basi hata kidogo nawaonea huruma waume zenu ambao
hawajui mnachokifanya hivi sasa..... mnatia kichefu
Sign up here with your email