YADAIWA HOMA YA KUWA NA MAKALIO MAKUBWA INAWATESA WANAWAKE WALIO WENGI



Mwanadada Vanity Wonder ameamua kuandika kitabu kusimulia kwa nini aliamua kutumia kiasi cha dola 15,000 kuchoma sindano za kukuza makalio.
 Vanity mwenye miaka 30 mama wa watoto wa wawili wa nchini Marekani kabla alikuwa mwembamba tu hana makalio.
Vanity Wonder



Anasema wanawake wengi hufikia hatua hiyo sio kwa lengo la kuwavutia wanaume bali kutoridhika na anachokiona kila anapojiangalia kwenye kioo.

 Vanity anavyoonekana sasa baada ya kukuza hips na makalio.Anasema ameamua kuandika kitabu kuelezea ukweli kwa nini aliamua kufanya hivyo.
Shot Girls by Vanity Wonder is out now

Anasema kuwa kwenye process wanawake wengi hupoteza maisha,hupata ulemavu wa kudumu na matatizo mengi tu hutokea.Wanawake wengi kisa kamuona mtu fulani kafanikiwa kukuza makalio hupata tamaa matokeo yake huenda kwa wataalam wa vichochoroni kukwepa gharama.Matokeo ndio huwa vifo na ulemavu.
Hiki ndio kitabu cha Vanity kinavyoonekana kwenye cover
Previous
Next Post »

Blogger templates