ANASEMA SIJAWAHI KUMFURAHISHA, NIONGEZE BIDII, DUUH

theclicktz.com/
Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana huyu kwa muda kidogo juzi nimepigwa na butwaa baada ya kunitamkia kuwa sijawahi kumfurahisha, niongezee bidii. Anasema yeye anapenda huchukua muda mrefu hadi kufika, na mimi simjali kabisa, sasa nashindwa kuelewa huyu mwanamke ana matatizo au ni mimi ndio nina shida??? naombeni ushauri
Previous
Next Post »

Blogger templates