HII VIDEO MPYA YA H-BABA NIMEIPENDA HEBU ISIKILIZE HAPA WE MWENYEWE UTAKUBALI TU INAITWA" TUBEBANE"

(New Video) H-BABA “TUBEBANE”

Kwa mara nyingine tena mkali wa dance H-Baba amevunja ukimya na kuachia kichupa chake kipya kabisa hiki, hivi sasa ameibukia na staili ya Afro Pop, moja ya staili yenye soko kubwa la kibiashara barani africa. Video hii kali imeandaliwa chini ya director Saimaco.
Previous
Next Post »

Blogger templates