HOSTELI ZA VYUO ZAGEUZWA MADANGULO YA KUPIGIA PICHA ZA NGONO ONA HIIIII


Hali ya mitindo ya mavazi kwa  dada hapa 
 nchini kwa sasa imekuwa gumzo kutokana na baadhi yao kutumia vibaya uhuru tulio nao,kwa sasa kuvaa nguo fupi na kutembea barabarani ni kitu cha kawaida.kutokana na hali hiyo dada zetu wa vyuo mbalimbali nchini wamekuwa wakivaa mavazi hayo na kupiganayo picha, ambapo kitu hicho kimekuwa kikiwaharibia sifa zao kwa 
siku za hivi karibuni.

Na kutokana na tatizo hili wazazi wetu tunapaswa kuamka sasa na kulivalia njuga swala hili la watoto wetu kuvaa nguo fupi na kupiga picha za nusu uch. Bad enough ni kuwa watoto wetu ambao n wasomi ndio wamekuwa waharibifu zaidi katika kupiga na kuvaa nguo fupi. Kwao kupiga picha chafu na kuziweka mitandaoni
 imekwa ni fun and they see it as entertainment,  we should change this mindset, they are responsible to show us the education they have got from their respective colleges, 


halisinyeusi is serious on this devil things conducted by our Intellectuals .. 

Credit> MAMBOMSETO
Previous
Next Post »

Blogger templates