Msimu wa pili wa kipindi cha The One Show cha TV1 umeanza. Kinachofanyika kwa sasa ni kurekodiwa kwa vipindi hivyo
vitakavyoanza kurushwa hivi karibuni.
Leo, watangazaji wa kipindi hicho, Ezden Jumanne na Jokate Mwegelo walikuwa wakimhoji Diamond Platnumz. Diamond ameshare picha kwenye Instagram akiwa amekaa kwenye kochi na ex wake Jokate, na kuvutia comments nyingi kutoka kwa mashabiki.
Baadhi ya mashabiki wamedai kuwa wawili hao waliowahi kuwa wapenzi kwa muda mfupi, walikuwa wakioneana aibu. Ni kweli?
Source: Udakuspecciall

Sign up here with your email