wanawake.
Instagram ilifuta account yake kwa sababu alitupia picha za masweta aliyo-design ambayo mbele yana picha za wanawake wawili walioanika matiti nje.
Kwa kutumia hashtag #FreeTheNipple, alitumia mtandao wa twitter kumaliza hasira zake juu ya mtandao wa Instagram huku pia akitumia picha za Rihhana alizopiga akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la LUI kama profilee picha yake. Kama umegundua pia account ya Rihhana ilifutwa muda mfupi baada ya kutupia picha zake akiwa mtu. Instagram hawakuwa nyuma,walijibu mashambulizi.
Sign up here with your email