Mama Maria Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wana kikundi cha (NEW MELLENIUM WOMEN GROUP) ambao ni wake wa viongozi kushoto ni Mke wa Waziri wa Utalii na Maliasili Faraja Kota kulia ni Mke wa Waziri wa Ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa Mariam Mwinyi walifika nyumbani kwake Msasani kumtembelea nakumjulia hali kutokana na mchango wake mkubwa ambao aliutoa katika kumsaidia Baba wa taifa Mwalimu Juliasi Nyerere kuwaongoza Watanzania nakudumisha amani na upendo kwa makabila yote ya Tanzania.Mama Maria Nyerere akifurahia jambo na Mariam Mwinyi ambaye ni Mke wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mariam walifika Msasani na wenzake wake wa viongozi kumjlulia hali Mama Maria Nyerere.Picha na Chris Mfinanga.
Credit: Michuzi
Sign up here with your email