MMMH JAMANI KILA AKINIONA TU CHUMBANI ETI ANATAKA NIMPE NYAMA YA HAMU EMBUU NA WEWE JIONE HAPA KWA NINI KILA MARA ANATAKA NIMPE.


Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26 nina boyfriend wangu ambae nampenda sana na yeye ananipenda mpaka ndugu zake wananitambua ilatatizo lililopo huyu boyfriend wangu anapenda sana kufanya mapenzi. Hawezi kukaa faragha na mimi bila kufanya mapenzi na hata ikitokea labda kamani siku mbaya hivi hivi anakuwa hawezi kujizuia na nikimuuliza ananiambia ndio nijue sina mwenzangu muda wote ananifikiria mimi ndiomaana tukikaa pamoja anakuwa nahisi kubwa juu yangu.Je, hili ni kweli anamaanisha anachonambia au ni vipi?! Na vipi kama ndio tabia yake kupenda kufanya mapenzi kila wakati akinioa itakuaje?!Mwisho kabisa naomba kuuliza naweza kumsaidia vipi ili twendw sawa?!
Previous
Next Post »

Blogger templates