NILIOZESHWA NIKIWA MDOGO SANA, SASA HIVI NIMEMCHOKA KABISA MUME WANGU


Niliozeshwa mara nilipofikisha tu miaka kumi na sita, wakati sijui lolote kuhusu mapenzi, mume wangu yeye alikuwa mkubwa sana kwangu. Sasa nina miaka ishirini na mbili tayari nimeshamchoka huyu mwanaume natamani hata apotee tu nibaki mwenyewe, nimechoka kabisa maisha haya , kwanza nimepitwa na mengi sijafaidi kabisa utoto wangu, na ujana pia. Amenichosha
Previous
Next Post »

Blogger templates