Ama Kweli Mapenzi Kikohozi, Wazidiwa Nakuanza Kufanya Yao Ndani ya Dala Dala


Kale Ka Usemi kuwa Mapenzi ni Kikohozi Kamedhiirika Juzi Huko Kenya Baada ya Wapenzi Wawili Kuanza Kunyonyana Ndimi Ndani ya Matatu ama Dala Dala Bila Kuona Aibu Kuwa kuna Watu wanawaangalia , Abiria Walibaki na Mshangao tu na kubaki wakishuuhudia sinema ya bure huku wengine wakipiga picha na kuzituma kwenye mitandao ya kijamiii....


Previous
Next Post »

Blogger templates