Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency ambao ni waratibu wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014 kwa wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni Miss Tanzania, Sitti Mtemvu.
video hapa
Afisa masoko wa Sahara, Joan John akimpatia King'amuzi cha kampuni hiyo kama zawadi kwa mshindi wa Miss Tanzania wa kwanza hadi wa tatu.
Sign up here with your email