VIDEO YA TUKIO ZIMA:KIJANA AMPIGA KIBAO RAIS MSTAAFU MWINYI MSIKITINI...HII ILITOKEA 2009


Kijana aliyempiga kibao rais mstaafu baada ya kukamatwa Wednesday, March 11, 2009 12:53 PM


RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi jana alipigwa kibao shavuni na mmoja wa waumini wa dini ya kiislamu katika Baraza la Maulidi wakati Rais huyo alipokuwa akihutubia waumini hao. 
Chanzo cha Rais huyo kupigwa na muumini huyo baada ya kuchukizwa na kauli alizokuwa anatoa rais huyo mstaafu ya kutaka waislamu kuacha zinaa na 

TAZAMA HII VIDEO
Previous
Next Post »

Blogger templates