‘Nampa Mahaba Mazito Bob Junior Kiasi cha Kumfanya Asimkumbuke Mkewe’ Sabby Angel

Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi na ‘Bob Junior’ kimahaba.Akizungumza na mwanahabari wetu, Sabby alisema kuwa ameamua kuonyesha ufundi wake wote wa kimahabati kwa msanii huyo kwani ni mwanaume ambaye amemuona mwenye mapenzi ya dhati.
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, amempa mahaba mazito kiasi cha kumfanya asimkumbuke aliyekuwa mkewe
Previous
Next Post »

Blogger templates