Sign up here with your email
Kweli Penzi si Kikohozi, Shilole Amuonyesha Mpenzi Wake Mpya Kistaili....
B
aada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Shilole aliamua kukaaa muda 
kabla ya kumtambulisha mpenzi mpya..Siku ya leo zimezagaa picha mbali 
mbali ambazo zinaonyesha Shilole na Mwanaume ajulikanaye kama Hamadai 
wakiwa chumbani faragha ikimaanisha wenyewe ndio wameamua zitoke 
mtandaoni na kuanzia sasa penzi lao si siri tena.....

