Mpenzi wangu ni mfanya biashara sikatai kwakweli anashughuli nyingi zinazomfanya achoke sana, lakini mi napata wasiwasi sasa hivi kila siku akirudi yeye amechoka tu, kila siku tunalala mzungu wanne tu yani hata anigusi, mimi nashindwa kumuelewa kwakwelihuo ni uchovu gani kila siku kwani hajui kama mimi namuhitaji pia..!! Nampenda sana mpenzi wangu naogopa kumsaliti lakini kwakweli simuelewi..!!
Sign up here with your email