Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu tuambizane anacho fanya uyu dada ni sahihi...??
Sign up here with your email