Kwenye korido jamaa alizidiwa na kuanza shuguli yake na dada huyo wa mwenye nyumba wake, alinaswa na mtoto wa mwenye nyumba hiyo na kisha kwenda kuriport kimya kimya kwa mama yake aliyekuwa chumbani. Mama huyo alifika eneo la tukio na kumwagia maji wote walikimbia wote mpaka hivi sasa beki tatu hajulikani alipo na jamaa hajawasili geto kwake. Mama huyo mwenye nyumba akiongezea ya kwamba " na bado nawasubiri kwa hamu sana malaya wa kubwa" NOMA.!
Sign up here with your email