SHILOLE A AMPA MAKAVU LIVE BABY MADAHA, LISOME BIFU HILI

STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba  hajielewi. 
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.
 

Baby Joseph Madaha.

“Sitaki kabisa kumsikia huyo Baby Madaha, hanisaidii chochote kile katika maisha na kazi zangu pia sioni sababu ya kupigizana naye kelele, mtu mwenyewe hajielewi,” alisema Shilole
Previous
Next Post »

Blogger templates