KUPIGANA PICHA ZA UCHI SIO MAPENZI BALI NI UJINGA



http://theclicktz.com/ 

Kupigana picha za uchi imekuwa fashion siku, na unakubali vipi kupigwa picha za namna hiyo. wakati mwengine unaweza kujikuta kwenye matatizo makubwa bila kupenda, kwa mfano simu au kamera yenye picha
hizo ikipotea ujue hapo ni balaa, huwezi kuwa na amani hata kidogo. Au aliyekupiga picha hizo mkigombana tu anaweza
kukudhalilisha muda wowote. Chunga sana wengine hufikia hata uamuzi wa kujiua wakati akiona ameppata aibu, na ujiona hana dhamani tena baada ya picha kusambaa.
Previous
Next Post »

Blogger templates