MAMA WEEE...! HAWA NDIO WASANII WAKUBWA AFRIKA MASHARIKI AMBAO WANAJIUZA MITANDAONI

Kwa mujibu wa mtandao wa facts.com kutoka Uganda,
wasanii waliopo kwenye picha hapo juu ambao wao wamekuwa wakijiita masocialite, yaani watu maarufu kwenye mitandao ya kijamii ni makahaba. Wasanii hawa wamejipatia umaarufu mkubwa sana

Hapa Afrika Mashariki kutokana na kuwa wanashindana kutupia picha za uchi kwenye social media. 
Tabia hii inaelezewa kuwa ni ukahaba ulioenda shule ambapo wanaume wanaochachawa na mapicha huwa wanawatafuta na kumake nao madili ya biashara 'KUJIUZA'
Tanzania
Nchini Tanzania wasanii ambao ndio mchezo wao kwa mujibu wa facts.com, ni Agnes Masogange, Loveness Love au maarufu kwa jina la Diva. Kwa pamoja hawa wamekuwa na tabia ya kucheza huo mchezo, wanapenda sana kuachia picha zenye kuchochea hamasa ya ngono katika mitandao ya kijamii.
Kenya
Kenya ndiko biashara ilipoanzia baada ya hawa wasanii kuanza hiyo biashara ambayo baadhi yao imewabadilishia maisha kabisa. Wasanii wa Kenya wenye kamchezo ka kujiuza ni Corazon Kwamboka ambaye haipiti wiki hajaweka picha/movie akiwa uchi,

Previous
Next Post »

Blogger templates