
Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee ambapo hiki ndichoalichokizungumza Madee baada ya swali hilo.
Soudy Brown alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza.
Sign up here with your email