Machale yalianza kunicheza pale nilipokuta picha za ajabu kwenye simu ya mpenzi wangu akiwa na rafiki yake wa kike chumbani wakifanya mambo yanayo husiana na usagaji, Picha hizo zilinitisha ikabidi nimuulize hakuonyesha kujali nakuona nikama kitu cha kawaida, baadhi ya picha walionekana wakikiss, na nyingine kukumbatiana.
Sign up here with your email