LEO NINAKULETEA MADA FLANI NILIYOIPATA KWA KAKA FLANI KUHUSIANA NA UZURI NA UTAMU WA MWANAMKE.
KAKA HUYO ALITANGULIZA SAMAHANI KWA AKINA DADA WOTE AMBAO WATAKWAZIKA NA MADA YAKE. ALISEMA,
'SIKU HIZI LIMEZUKA WIMBI LA AKINA DADA NA HATA AKINA MAMA WENGI SANA KUJIREMBA KWA NAMNA MBALIMBALI ILI WAPENDEZE AMA WAWAVUTIE WANAUME!
WAMEKUWA WAKIPAKA RANGI TOFAUTI TOFAUTI KWENYE MIILI YAO, NYWELE ZAO KUCHA ZAO, MIDOMONI YAO, NK.
WENGINE WAMEFIKIA HATAU YA KUNYWA AU KUPAKA DAWA ZA KICHINA ZA KUONGEZA MAKILIO NA MAZIWA ILI KULETA MVUTO NA UZURI WAUTAKAO.
HATA HIVYO, WENGINE WANASUKA NYWELE NDEFU NA WANAONGEA KWA MBWEMBWE HUKU WANATIKISA VICHWA VYAO NA KUSHIKASHIKA NYWELE KAMA WAFANYAVYO WANAWAKE WA KIZUNGU KWENYE MUVI.
KWA MSISITIZO ZAIDI HUCHANGANYA KISWAHILI NA KINGEREZA. KWA MFANO UTASIKIA, "OFUKOZI AI LAVU HIM BATI, SIWEZI KUENDELEA NAYE"!! CHAKUSIKITISHA WANABADILISHA MPAKA SAUTI ZAO!
NINAJUA DADA ZETU WANAFANYA HIVYO KWA LENGO LA KUPENDEZA NA WENGINE KWA LENGO LA KUWAVUTIA WANAUME. NA NINA HAKIKA HUWA WANAWAPATA WANAUME WENGI SANA KUTOKANA NA HILO! SHIDA IPO KWANGU JAMANI...
MIMI KAMA MIMI SIJUI NI KWA NINI HUWA HILI LINANITOKEA, LAKINI NI KWAMBA JINSI WANAWAKE WANAVYOZIDI KUJIREMBA NDIVYO NA MIMI NINAISHIWA HAMU YA KWENDA NAO KITANDANI!!
KIUKWELI NI KWAMBA NIKILALA NA MWANAMKE AMBAYE NI NACHURO, YAANI MWENYE NYWELE ZAKE ZA KAWAIDA ZILIZOSUKWA KWA MTINDO WA "TWENDE KILIONI" AU ZILIZOBANWA VIZURI, MWENYE WOWOWO, CHUCHU NA SAUTI NACHURO, HUWA NAPATA NGUVU NYINGI SANA ZA KUPANDA MLIMA, IKILINGANISHWA NA NINAPOLALA NA MWANAMKE MWENYE UREMBO NA UZURI BANDIA.
SIJUI KAMA UGONJWA HUU UMEWASHIKA NA WANAUME WENZANGU AMA NINAUMWA MWENYEWE!!' ALIMALIZIA KIHIVYO KUUELEZEA YA MOYO WAKE
Sign up here with your email