Nadhani sasa watu wanaweza kujifunza kutokana na hili, hatukatai mtu kuchati kwenye mitandoa ya kijamii, lakini lazima ujiheshimu uki
a humo ukifanya charting.Huyu dada yamemkuta makubwa kwani amebakwa na mtu tena kigogo serikalini anayefahamika kwa Felola Uzezi baada ya kuchati naye favebook kwa muda mrefu.Kigogo huyu ni mtu wa Badagry.
Chanzo kinasema baada ya mazoea mengi na kigogo huyo ndipo waliamua kuonana, ndipo alitongozwa na kigogo huyo lakini akakataa .Lakini kwa mazingira walikuwa nayo ilimbidi tu abakwe.
MAONI YA MWANDISHI:
Hivi jamani mtu anakuita sehemu yenye utata(hotelini) halafu unakwenda ukijua kabisa lazima utatongozwa, hivi unakuwa umezamilia ukabakwe au ufanye mapenzi halafu useme umebakwa.Tuondoleeni ujinga wenu bana
Sign up here with your email