Kiu ya kushinda zawadi yenye jina lililomsafirisha kimawazo imemponza msichana mmoja Muingereza baada ya kuamua kutoa utu wake na kukubali kushiriki kwenye mchezo wa kufanya vitendo vya ngono (bl*wjob) na wanaume 24 hadharani kwenye club
ya usiku ili ashinde ‘Holiday’.
ya usiku ili ashinde ‘Holiday’.
‘Holiday’ ni jina la kinywaji cha cocktail kilichotengenezwa na gin, vodka, peach schnapps, blackcurrant liqueur na fruit juice.
Lakini masikini msichana huyo mwenye miaka 18 hakulifahamu hilo, ndio maana alijitoa muhanga kushiriki katika mchezo huo uliofanyika kwenye bar iitwayo Alex’s Bar huko Hispania.
Binti huyo ambaye jina limehifadhiwa aliambiwa na waandaaji wa mchezo huo kuwa endapo atashiriki basi atajishindia ‘Holiday’, lakini mwisho wa siku kumbe zawadi ni ya kinywaji cha cocktail kinachogharimu £4 sawa na elfu 11 ya kibongo.
Msichana huyo alikuwa akishangiliwa na umati uliokuwa ukishuhudia mchezo huo mchafu huku wengine wakirekodi tukio hilo kwenye simu zao.
“Msichana huyo alikuwa akihamasishwa kunywa sana na kuambiwa atashinda ‘holiday’ kama atashiriki wenye mchezo huo. Kwa bahati mbaya ‘Holiday’ hiyo ikageuka kuwa ni jina la kinywaji cha cocktail. Namwonea huruma” shuhuda mmoja aliiambia

Sign up here with your email