IMEVUJA:PICHA ZA KIMAPENZI ZA JOKATE NA CALISAH ALIEKUWA MPENZI WA WOLPER!!!!..

Huyu Calisah ni Model maarufu wa kiume...ambaye siku za hivi kariburi alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper....kama tulivyo ripoti siku za nyuma kidogo..
 
Huyu Calisah ni Model maarufu wa kiume...ambaye siku za hivi kariburi alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper....kama tulivyo ripoti siku za nyuma kidogo..
 
Wiki kadhaa zilizopita inasemekana penzi lao LUKU ILI KATA.....Hadi sasa Calisah amefuta picha  zote za Wolper  kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM ambapo zilikua zaidi 30..hahahaha
Leo kutoka huko INSTAGRAM wadaku wamezidaka picha hizi za JOKATE ambayo watu wanashindwa kuyaelewa!!! Kama unavyoziona....Jiongeze kiutuuzima!!! a katika mapozi 
Previous
Next Post »

Blogger templates