NIMEACHANA NA BOYFRIEND WANGU JANA LEO KASAMBAZA PICHA ZANGU FACEBOOK...

Kwakuwa aliona kuwa kuna dalili za mimi na yeye kuachana, kwakuwa tayari mapenzi na yeye nilikuwa sina tena kutoka na yeye kunisaliti kila mara, alifanya kila njia ili baadae aje kunidhalilisha, alinipiga picha na kuisave kwenye computer yake na alivyoona siko nae tena, nakumbuka alinitumia message kwamba utaona. 
Sikujua ana maanisha nini mara nilianza kusikia kwa marafiki zangu kwamba eti nimekuwa superstar baadae nikagungua kwamba walikuwa wananing'ong'a . mmoja wa rafiki zangu alinionyesha picha hiyo ya uchi aliyoipost facebook nilikosa la kuongea nikabaki nalia
Previous
Next Post »

Blogger templates