Tatizo limekuja pale napomwambia tuachane kwa vile ni mke wa mtu hataki hata kusikia, first time nimemtokea akanambia yupo single girl ila baaada ya siku nikawa nimegundua ni mke wa mtu.
Jamani na mimi nimedata mbaya kwa kweli cause hata min kabaaang ananipa tuu hana choyo mtoto wa watu, je nifanyaje nimwache?
Sign up here with your email