SABABU ZINAZOWAFANYA WANAUME WA KITANZANIA WAWAPENDE WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA ZAIDI



SABABU ZINAZOPELEKEA WANAUME WENGI WA KITANZANIA KUPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA NA MALAINI NI HIZI HAPA:

Sababu ya kwanza ni kubailika kwa historia na mitazamo ya wanaume. Miaka michache iliyopita mambo yalikuwa tofauti sana kwani mtazamo  wa watanzania walio wengi ulikuwa ni kwamba mwanamke mzuri na mrembo ni yule mwenye maumbile madogo na mwembamba.
Wanawake wembamba na wenye makalio madogo walipendwa na kusifiwa sana. Majina mbalimbali ya kuwasifia malaika hao yalisikika kila kona ya taifa letu na wakati mwingine hadi vyombo vya habari na wanamuziki walichochea zaidi. Kwa mfano,  majina kama  “EASY TO CARRY”, “PORTABLE”, “ENGLISH FIGURE”, nk yalitumika sana kipindi hicho.
Kutokana na fikra na mitazamo ya wanaume wa kipindi hicho, wasichana na wanawake wengi walichukia sana walipoambiwa wananenepa ama wana makalio makubwa! Kitu walichokifanya ili kuepukana na hilo ni kujinyima kula ama kula vyakula  ambavyo havikuwa na mafuta ili kukidhi mahitaji ya wanaume wa kipindi hicho.

Mfano wa mwanamke ambaye ni EASEY TO CARRY!
   
Mfano ulio sahihi zaidi wa mrembo ambaye ni Portable na Easy To Carry
Kuanzia miaka ya 2004 tulianza kushuhudia historia na mitazamo ya wanaume ikibadilika kwa kasi sana. Kipindi hiki wanawake wenye maumbo makubwa na makalio manene ndio walioingia sokoni! Kila akipita mwanamke mwenye umbo hilo wanaume wamekuwa wakigeuka na kukooa ama kupiga miluthi kudhihirisha matamanio yao hadharani.
Wanawake hawa wamekuwa wakipewa majina kadhaa ya kuwasifia. Kwa mfano, tumekuwa tukisikia wakiitwa 
“WENYE MAUMBO KAMA MIDOLI”,”WALIO FUNGASHIA”, “WALIOKATIKA”, “WALIOBEBA MZIGO NYUMA”, na hata wanaume wengine wamekuwa wakithubutu kutumia misemo kama “KWELI UZURI WA NYUMBA NI CHOO CHAKE” na ”YALIYOMO YAMOOOO!” katika kuwasifia malaika hawa.
Kwa sasa wanawake wembamba na wenye makalio madogo wamekuwa wakipewa majina ya kashfa. Kwa mfano, “ALIYEPIGWA PASI”, “ASIYE NA KITU NYUMA”, “ASIYEWEZA KUTOFAUTISHWA KATI YA MGONGO NA TUMBO”, nk!!!!!
 
Mwanadada aliyefungashia
Hili limepelekea wanawake wengi sana ambao hawana makalio makubwa  kukosa raha na hivyo kutafuta mbinu mbalimbalili waweze kukidhi mahitaji ya wanaume na hivyo kuingia sokoni kirahisi.
Wengine wamekuwa wakithubutu hata kutumia madawa yaliyokuwa yakitengenezwa China na kuingizwa nchini kinyemela kwa lengo la kufanya nao “wafungashie”!!!!!
Sababu nyingine ni kuibuka na kuongezeka kwa mchezo wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile- watoto wa mjini huuita mchezo huo “ kulana tigo”. Mchezo huu ambao umeenea zaidi katika majiji makubwa na pwani ya Afrika ya Mashariki, umekuwa ukiwafanya wanaume wengi sana wawapende wanawake wenye makalio makubwa na malaini ili waweze kupata raha zaidi wakiwa wanashughulikia.
Hata hivyo, kuna watu wengine wanaamini kuwa wanawake wengi wenye makalio makubwa na malaini sana huwa wamezoea mchezo huo. Binafsi, nisingependa kuamini hilo kwa sababu nitakuwa ninawatukana wanawake walio wengi sana ambao hawafanyi upuuzi huo na wasingependa kufanya kabisa lakini wamefungashia isivyo kawaida.
Sababu ya mwisho kabisa ni kwamba wanaume wengi sana huwa wanapenda kupewa sifa za kimapenzi.Wanaume hawa hupenda kusifiwa kuwa anatembea na wanawake wazuri kila wakati. Kwa hiyo, kutokana na kubadilika kwa mitazamo ya watu kuwa mwanamke mzuri ni yule mwenye makalio makubwa, huwa wanaume wanatamani zaidi kuwamiliki wanawake wenye sifa hii ilimradi wapate sifa kutoka kwa wanajamii.

                  *****MWISHO******

Previous
Next Post »

Blogger templates