KAKA YANGU MTOTO WA MAMA MDOGO ANANITAKA, MPAKA ANATISHIA KUJIUA ENDAPO NITAKATAA..!! NIFANYAJE?

http://theclicktz.com/
Nimekumbwa na janga jamani mtoto wa mama yangu mdogo ambaye tume kuwa pamoja, mpaka hivi sasa ananitaka kimapenzi na tena ameahidi kunioa endapo nitakubali, pia ameahidi kujiua endapo nitakataa kuwa nae. Naogopa hata kumua mbia mama yake kwani anaweza asiniamini nashindwa nifanyaje jamani. Naombeni Ushauri..!! 
Previous
Next Post »

Blogger templates