KUWA MUWAZI MUELEZE MPENZI WAKO LEO NI NINI UNAPENDA..!! SOMA HII...!!

Wengine wanaona kama ni kitu kigumu sana kumueleza mwenza wake anacho kipenda, au anaona kama ataeleweka vibaya ataonekana malaya au mtoto. Ngoja nikuambie rafiki yangu Uwazi unasaidia sana kwenye maswala ya mapenzi. kutokuwa muwazi huwa kuna waletea shida sana watu, wakati mwengine hushindwa hata kufurahia mapenzi yao kujikuta wakati mwengine hata kutofika kabisa kileleni. Wakati mwengine inabidi useme ni wapi ukiguswa akili inakuruka au ni mkao gani huwa unaopenda sana.

Wengine mnaishia kuwasaliti wenza wenu kwakutokuwa wa wazai, Mnaona kama hamridhishwi. Mnashindwa kuelewa kuwa wenza wenu sio malaika kwamba ataota tu ni nini unapenda. Ni vizuri kusema na ufurahie mahusiano yako. BAKI NJIA KUU..!!
Previous
Next Post »

Blogger templates