Ni maajabu lakini ni kweli, baba mmoja anashikiliwa na mahakama na kufikishwa kizimbani kwa kumbaka mwanae, baba huyo ajulikanaye kama Pedro Enegbe kutoka Nigeria alifanya kitendo hicho kwa mwanae ambaye ana miaka 15, cha kustaajabisha, alipopandishwa kizimbani alisema kuwa alisikia sauti ya roho mtakatifu ikimwambia afanye kitendo hicho cha ubakaji....NI MAMBO YA AJABU LAKINI NI KWELI
Sign up here with your email