MAPICHA: HAWA NDIO WASANII WA BONGO WALIOWAHI KUWA NUSU UCHI STEJINI.

Wema Sepetu
Wema sepetu ndio anaongoza kwa hili swala la kujisahau stejini na kuacha “maliasili” zake zikiwa wazi. Hii imemtokea miaka miwili mfululizo. kwanza mwaka 2011  mjini Morogoro baada ya kupanda stejini na kuanza kuimba pamoja na boyfriend wake Diamond,lakini hiyo isingetosha kama angeondoka jukwaani bila kuachia wowowo lake mbele ya mashabiki waliofurika uwanja wa Jahmhuri kushuhudia burudani za Fiesta 2011!!!.
Wema-Sepetu-uchi-vibe-co-tz
Kama hiyo haitoshi mwaka 2012 katika Tamasha la Serengeti Fiesta lilipofanyika mkoani Dodoma wema alirudia yaleyale ya mwaka uliopita na tofauti na mwaka 2011 , wema aliomba msamaha  mbele ya waandishi wa habari.“ Kiukweli hatujafurahia na tumeumia sana na natumia fursa hii kuomba Msamaha” alisema wema
Wema-Sepetu-uchi-2-vibe-co-tz
Baby Madaha
usiku wa kuamkia Septemba 17, mwaka 2012  kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ambako kulikuwa na tamasha kubwa la Serengeti Fiesta wananchi walimshuhudia Baby Joseph Madaha akijikuta akiumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya matiti a.k.a nido zake kuchomoza na kuonekana hadharani akiwa jukwaani.
Baby-madaha-matiti-nje-vibe-co-tz
Aunty Ezekiel
Pia aunty ezekiel aliungana na wema sepetu katika kutia aibu fiesta dodoma mwaka 2012. Aunty ezekiel naye aliungana na wema kuita vyombo vya habari na kuomba msamaha.
aunty-Ezekiel-uchi-vibe-co-tz

Previous
Next Post »

Blogger templates