AIBU SANA HII, KINA MAMA WATU WAZIMA, WATWANGANA MAKONDE MBELE YA UMATI, SHUKA NAYO

Wanawake watatu katika soko la mkulima Tabora mjini wamejikuta wakipeana kipigo kikali mchana kweupe wakati walipokuwa wakifanya biashara za mboga mboga hatua ambayo ilisababisha kuharibu sehemu ya bidhaa wanazouza.
Chanzo cha ugomvi huo kimetokana na mmoja wa wanawake hao kuwa mbabe kwa wenzake na hivyo kushindwa kumvumilia kutokana na vituko vyake.
muda mfupi baadaye waliamuliwa ugomvi huo na askari polisi Fakih Abdul aliyekuwa akipita sokoni hapo.




Previous
Next Post »

Blogger templates