JOKATE NA GODZILLAH KITU GANI KINAENDELEA.?


Mlimbwende Jokate Mwengelo na King Zillah Msanii wa Bongo fleva wakifanya yao maeneo ya kujidai, sasa hii ni Clip ya Moja ya kazi zao hapo bado ni kizungu mkuti….Endelea Kuwa nasi tutakujuza..!!!
Wakiangalia clip ambayo walijirekodi wenyewe…vipi unaizungumzziaje Couple Hii inapendeza au La?

Previous
Next Post »

Blogger templates