Aliyekuwa mwakilishi wa mara mbili kutoka Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Mwisho Mwampamba ataonekana hivi karibuni kwenye kituo cha runinga cha TV1 kama mtangazaji.
Kupitia Instagram, TV1 wameweka picha hii ya ya baadhi ya wafanyakazi wa TV1 akiwemo Mwisho na kuandika; Guess who’ll be next as #TV1Host #tv1tanzania #comingsoon #tvproduction #tv #tanzania #africa #daressalaam #mikocheni #studios #set
Sign up here with your email