RAIS KIKWETE AONYESHA JEURI YA JESHI LA TANZANIA JANA, MAADUI WAJIONEA


Mwenye Macho haambiwi Tazama hakuna siri Leo kila rangi maadui wa nchi Na Rais wetu hawajaacha kuoona.

Vijana wamekamilika kila idara in a modern and newly Technology.

Watu msiojua,mjue Tanzania sio nchi ya mchezo katika Ulinzi.

Tunapenda amani Na upendo Na majirani.

Lakini atakayethubutu kutubeep,hatutasita kumtwanga.

Viva Kikwete,
The true Hero in an innocent land of Mwalimu Nyerere.

The Nation is proud of you son of Africa.

The Valley and the Greenland sings Your remarkable,achievement in every aspect.

We adore and Love you,

Longlive Jakaya

Previous
Next Post »

Blogger templates