wasanii
PICHA YA SHILOLE AKIWA IGUNGA TABORA MIAKA HIYO... HAHAHAAAA!!! TIZAMA PICHA HIZO HAPA!!
PICHA YA SHILOLE AKIWA IGUNGA TABORA MIAKA HIYO... HAHAHAAAA!!! TIZAMA PICHA HIZO HAPA!!
Picha hii kutoka kwa Shilole enzi zake zamani kabla hajaanza kazi kwenye kiwanda cha burudani, hapo alikuwa anaitwa Zuwena kabla ya majina ya Shilole na Shishi baby hayajaanza kutumika kwenye usanii anaoufanya.