Wanaume shombe shombe ni wanaume mchanganyiko wa kiafrika na rangi nyingine inaweza kuwa ya kizungu, kiarabu au kichina n.k
Nisiwachoshe hizi ndio sifa za wanaume shombe shombe.
Wanajua kujali sana kwenye mapenzi na wana roho nzuri na huruma pia. Shombe shombe wengi dunian wamelelewa na mzazi mmoja tena mama kutokana sababu mbalimbali.
Hivyo kutokana na kulelewa na mama tu wanakuwa wameadapt roho nzuri na wanajua kujali na wana huruma sana kama mama zao.
Wanayajua mapenzi sana. Kutokana na kutembea sehemu tofauti .hivyo wana eksiposha kuhusu mapenzi yanavyokuwa kutoka nchi tofauti walizofika na hatimaye wakipata mpenzi wanamuonyesha upendo wote.
Wanaume mashombe shombe wana upendo wa dhati na hawapendi kuumiza mwanamke. Kutokana na wengi kulelewa na mama tu wamejikuta hawapendi kuumiza mwanamke
Ata 6 kwa 6 wanaume shombe shombe wako vizuri .
Kazi kwenu wadada kuchagua kusuka au kunyoa
Sign up here with your email