KAULI YA LULU KUHUSU KUKOSA TUZO, YAMPA MOYO BELLE 9....!!!

Belle 9 ni miongoni mwa wasanii wakali nchini ambao hawajawahi kuwa na bahati na tuzo za Kilimanjaro na mwaka huu bahati haikuwa kwake pia. Kukosa kwake tuzo kumewaumiza mashabiki wake akiwemo Elizabeth Michael aka Lulu. 

Kupitia Twitter, Lulu ameandika: 

Namshukuru Mungu kwa ushindi wa @FidQ sasa mwaka mtakaompa Tuzo Belle 9 nitatoa sadaka kabisaaaaa."

 IMG_9188
Lulu akimkabidhi tuzo Vanessa Mdee kwenye usiku wa KTMA weekend iliyopita

Kauli ya Lulu imempa moyo Belle 9 ambaye ameiambia Bongo5: "Nachoweza kusema hapo Lulu kuna kitu amekiona kwenye muziki wangu ndio maana akasema kauli hiyo. Hii inanipa nguvu zaidi ya kuongeza juhudi zaidi kwa kile ninachokifanya ili nifike mbali zaidi. Kama Lulu kasema hivyo hebu jiulize ni wangapi? Wanatambani kitu kama hicho,kwahiyo ni dhahiri kuna watu wengi sana wanafuatilia muziki wangu.

Chanzo:bongo5
Previous
Next Post »

Blogger templates