Jokate:Naogopa Sana Kufa...SOMA ZAIDI

Mwanamitindo na Mtangazaji Maarufu Jokate Mwogelo Amelihabarisha Gazeti Moja na Udaku Hapa nchini na Kusema Anaogopa sana kufa kwa ugonjwa huu mpya wa Dengue kwani Akiugua Kidogo tu anahisi ameshaukwaa ugonjwa huo ambao sasa ni tishio Jijini Dar …
 jokate mwigelo
 Alisema “Ninauogopa sana huu ugonjwa wa Dengu maana nasikia ni hatari sana, basi mimi nikiumwa kidogo tu nahisi ndio tayari nimeukwaa na sijui hata unatibiwa vipi, naogopa sana kufa,” alisema Jokate. 
Previous
Next Post »

Blogger templates