Mashabiki wamchana Nay wa Mitego…!!

Nay wa Mitego anaamini kuwa ukimtoa Profesa Jay wa zamani (anadai huyu wa sasa kachoka) yeye ndiye rapper bora zaidi kuliko mwingine Tanzania. Lakini mashabiki wanaikubali kauli hiyo? Hell NO!!
ney
Octavian Kiwale
Unatafuta kick tu wewe, nadhubutu kukuambia ukizungumzia HIP HOP hata killer tu hujamfikia ndo ujiringanishe na Prof?//////// FID Q ndo usimwongelee kabisa
Winnie Glory
We ney fid Q na joe makin huwafiki hat robo, mbuz tu wew ndo man unalelewa na siwema
TheBoy Junior
Na je nakula ujana ipo wapi hip hop au bongo fleva na akisema ye ndo anaongea ukweli nash mc tumuweke wapi sasa? Asitafte kiki wasanii wa hip hop wengi na wanafanya vile hip hop inapaswa kuwa. Huyu hana jipya tena tafta Scandal utoke kama diamond na si kwakusema we ndo hip hop hata hip hop yenyewe huijui….
Agapito Petro
Mwana fa,ngwair(r.i.p.),kala jere100, ay n.k. Huwafikii hata kiduchu
Laurent Mwamlima
Ney umeishaaaa… kajititie tu Hata MPOKI MJUNI hata mzee MGARI humfikii kwa hip hop
Vitalis Kaizer
Hata 50 bora ya hip hop sidhani kama umo bado sanaaaaaaa kuropoka sio hip hop jipangee!!
Dotto Kondo
Huyu jamaa bhana,sometimes nahc huwa akili zinamruka
Ze Jap Suprah
Chiz wewe mwambie aandike kip sijasikia hafu tuone
Rashid Mtoi
Dogo janja mwenyewe humfikii hata robo
Previous
Next Post »

Blogger templates